Перейти к содержимому

MWAKA WA JUBILEI // Na. Fr. Mikael Nchembi // SHIRIKA LA MASISTA WA MARIA MTAKATIFU MALKIA WA AFRIKA

Ave Maria Productions

0:00 / 0:00

MWAKA WA JUBILEI // Na. Fr. Mikael Nchembi // SHIRIKA LA MASISTA WA MARIA MTAKATIFU MALKIA WA AFRIKA

9 704 просмотра · 1 год назад
Ave Maria Productions
7,2 тыс. подписчиков
9 704 просмотра · 1 год назад
Karibu tuungane kwa pamoja kumshukuru Mwenyezi Mungu katika sherehe hizi za JUBILEI YA MIAKA 75 tangu SHIRIKA LA MASISTA WA MARIA MTAKATIFU MALKIA WA AFRIKA _ (MMMMA) lilipotambuliwa rasmi Roma mnamo mwaka 1949... Sherehe hizi zitafanyika Tar 9 / 12/ 2024 siku ya Jumatatu, ikitanguliwa na Misa Takatifu itakayofanyika Kanisa Kuu, Jimbo Katoliki la Sumbawanga. Waumini wote na wote wenye mapenzi Mema mnakaribishwa sana. Karibuni sana.... Audio & Video: Ave Maria Productions Mawasiliano: +255742226000 +255628794590