UJIO WA MBEGU MPYA KUTOKA UFARANSA (SERENIS)-UKOMBOZI KWA WAFUGAJI.
PAN GRO TANZANIA
0:00 / 0:00
UJIO WA MBEGU MPYA KUTOKA UFARANSA (SERENIS)-UKOMBOZI KWA WAFUGAJI.
1 772 просмотра · 1 г. назад
PAN GRO TANZANIA
2,96 тыс. подписчиков
1 772 просмотра · 1 г. назад
Kampuni ya Genomex Tanzania inatambulisha mbegu mpya ya nguruwe kutokea Kampuni ya Nucleus ya Ufaransa.
Mbegu hii ni nzuri na inakuja kuleta ukombozj kwa wafugaji wa Nguruwe Tanzania kutokana na uwezo wake wa kuzaa watoto wengi na uwezo wa kuleta watoto.
Dr Baguma ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya uzalishaji na usambazaji mbegu ya Genomex,anaendelea kuelezea juu ya tofauti ya mbegu hii mpya na tulizonazo Tanzania
Endelea kufatilia mpaka mwisho kutokea Viwanja vya maonyesho ya Sabasaba Dar es salaam Tanzania.
Usisahau kusubscribe chanel yetu ya PAN GRO TANZANIA ili uendelee kupata masomo mbalimbali yanayohusu ufugaji wa Nguruwe na wanyama mbalimbali.
Wasiliana nasi kupitia namba
MR PIG TANZANIA
0678898874
0740348874
TRUST OUR FEEDS,TRUST YOUR PIGS.