Maandamano Ufaransa na Mataifa Mengine Ulaya Yanavyozidi Kupamba Moto
CLOUDSMEDIA
0:00 / 0:00
Maandamano Ufaransa na Mataifa Mengine Ulaya Yanavyozidi Kupamba Moto
798 просмотров · 1 дн. назад
CLOUDSMEDIA
1,56 млн подписчиков
798 просмотров · 1 дн. назад
Maandamano makubwa nchini Ufaransa na nchi kadhaa za Ulaya yanayochochewa na kupanda kwa gharama za maisha, uhaba wa rasilimali na walimu katika sekta ya elimu, na sera za kubana matumizi za serikali yameendelea kupamba moto. Multipolar Vision inachambua hali hii.