Перейти к содержимому

BINTI MARINGO msicha wa miaka hii jeuli kilicho mkuta!!!

SAUTI YA SIFA FILMS

0:00 / 0:00

BINTI MARINGO msicha wa miaka hii jeuli kilicho mkuta!!!

1 018 просмотров · 5 месяцев назад
SAUTI YA SIFA FILMS
4,8 тыс. подписчиков
1 018 просмотров · 5 месяцев назад
BINTI MARINGO - EPISODE 1 (Official Video) Kiburi si maisha, na uzuri wa mwanamke bila tabia ni kazi bure! Katika Episode hii ya kwanza ya mfululizo wa igizo la BINTI MARINGO, mambo yanazidi kuwa moto mtaani. Mwantumu anaendelea na jeuri yake ya kujishaua na kuwadharau wale wote wanaomzunguka, hasa wale anaowazidi uwezo. Honi, dharau, na kiburi ndio silaha zake za kila siku hachelewi kula hela za wanaume na kukimbia bila kujali maumivu anayowaachia. Lakini je jeuri hii ya Mwantumu itadumu hadi lini? Nini kitatokea pale mzunguko wa maisha utakapobadilika na dharau zake kuanza kumtafuna yeye mwenyewe? Usikose kutazama mwanzo mwisho kujionea mafunzo makubwa na visa vya kusisimua vilivyofichwa kwenye sehemu hii ya pili! Tafadhali Like, Comment maoni yako hapo chini, na Subscribe kwenye chaneli yetu ili uwe wa kwanza kupata Episode inayofuata pale tu tutakapofikisha lengo la watazamaji 500! #memkwa school #big boss #dunia mpya