Перейти к содержимому

Dyllan tz_-_Mawazo- Official Visualizer

dyllan tz 🎙

0:00 / 0:00

Dyllan tz_-_Mawazo- Official Visualizer

186 просмотров · 4 недели назад
dyllan tz 🎙
15 подписчиков
186 просмотров · 4 недели назад
Asante kwa support yenu ❤️‍🔥 Usisahau LIKE 👍, COMMENT 💬, SHARE 🔄 na SUBSCRIBE 🔔 kwenye channel kwa ajili ya nyimbo na projects mpya. 🎧 Listen & Stream: YouTube | Boomplay | Audiomack | TikTok #DyllanTZ #OfficialVisualizer #TanzaniaMusic #BongoFlava #NewMusic, audio lyrics,, dyllan once again, tinny nikisema maneno, yatakuwa ni khashfa, nijielezee vipi,kwa maana naweza nikafa, huu moyo ,unatama kukuambiyaaaaah, kweli mdomo,unataman kukuambiy, mapenzi uchoyo, nikisema naumiya, kwangu sichoyo,ndo nishaingiaaah, nianze kusema naanziya wap, nitapike maneno, yanatokea wap, navyoogopa naanziya wap, kukuambia kitu,naanziya wap, CHORUS Hapa nipo,katikati ya mawazoooo, (nikuulize,je?ninavyoogopaah)×2 nikiacha,wengine watakuokotaaah, (sijui mimi,sijui mimi,)×3 INSTRUMENTAL PLAYING ▶️ oyeeh onanana nikikaa tu nawe,nakuwa nafuraha, nikilala bila we,macho yananishangaa, ety nikiwa na wewe, kuongeya nashindwa, aibu ya kuongeya na wee,navoogopaaaah, hivi ni aibu,au umeniadhibu, maana ni ajabu,kusema na aibu, ooh kwel me siwez,kuishi bila wewe, maana umenitibu,kidonda cha mapenzi, CHORUS Hapa nipo,katikati ya mawazoooo, (nikuulize je,ninavyoogopa,)×2 nikiacha,wengine watakuokotaaaah, (SIJUI ME, sijui mimi)×3 dyllan tz Official lyrics ENJOY 😉