Перейти к содержимому

ONEVOICE27 🔥 | Mwenyekiti wa NTUC Aimba na Wanakwaya – Sauti Moja, Utume kwa Wote

Hope Media SRF

0:00 / 0:00

ONEVOICE27 🔥 | Mwenyekiti wa NTUC Aimba na Wanakwaya – Sauti Moja, Utume kwa Wote

625 просмотров · 12 дней назад
Hope Media SRF
429 подписчиков
625 просмотров · 12 дней назад
🎶 ONEVOICE27 | Sauti Moja, Utume kwa Wote 🎶 Katika video hii maalumu, Mwenyekiti wa Northern Tanzania Union Conference (NTUC) anaungana na wanakwaya katika kuimba na kuhamasisha ujumbe wa #OneVoice27. Tukio hili linaonesha umoja wa waumini katika kutangaza injili na kujiandaa kwa utume mkubwa wa kuifikia jamii kwa sauti moja. Tazama, shiriki na usisahau ku-subscribe kwa ajili ya kupata maudhui zaidi ya kiroho, muziki wa injili, na matukio muhimu kutoka Kanisa la Waadventista Wasabato. 🙏 One Voice27, Mission for All. #OneVoice27 #NTUC #SDAChurch #Adventist #GospelMusic #Choir #Tanzania #Mission #YouthMinistry #JesusIsComing #NorthernTanzaniaUnionConference