Перейти к содержимому

Devotha Joseph - Wastahili (Live Music Video)

Devotha Joseph

0:00 / 0:00

Devotha Joseph - Wastahili (Live Music Video)

51 206 просмотров · 3 года назад
Devotha Joseph
2,86 тыс. подписчиков
51 206 просмотров · 3 года назад
WASTAHILI ni wimbo wa ibada wenye nguvu na uvuvio wa Roho mtakatifu! Ukiwa na Lengo la kumpa Mungu ibada na kuwasogeza watakatifu mbele ya Mtakatifu, astahilie sifa zote zilizojuu ya fahamu na nje ya maneno ya vinywa vyetu! Maombi yangu juu ya wimbo huu ni kwamba ukaishi vizazi na vizazi, Lakini pia ukazalishe matokeo chanya ya ibada ndani ya mioyo ya watoto wa Mungu. Mungu akahuishe moyo wa ibada unapotazama wimbo huu katika Jina la Yesu! Ufunuo 5:9-10 Music composer ;-Devotha Joseph Music director ;- Maestro keys First piano;- maestro Keys 2nd piano ;- Corg Bass guitar John kazire (JP) Lead guitar ;- Benjamin Kazire Drums;- Baraka Ngowi Vocalist (The Next Chapter) Christina Marco;- alto Melanie ;- soprano Ruth;- soprano Becky Lyanga;- alto Tenor;- Ericklinton Tenor;- Josh Cleopa Floor Manager; John Marco Lights : Visual Matters Events Producer;- Taz goemi Production:- Fisher Recods Graphics : Lujeje Creative Signed Fisher Records #DevothaJosphen #Wastahili #LiveMusicVideo.Channel Administered by Huru Digital Instagram:   / hurudigital