Перейти к содержимому

MAPOKEZI YA KISHINDO KWA MUDIRI SHEIKH SAMIRI BARABARA ZIMEFUNGWA KUPISHA MSAFARA | SIO JAMBO DOGO

KHAIRIYYA ONLINE TV

0:00 / 0:00

MAPOKEZI YA KISHINDO KWA MUDIRI SHEIKH SAMIRI BARABARA ZIMEFUNGWA KUPISHA MSAFARA | SIO JAMBO DOGO

1 978 просмотров · 2 года назад
KHAIRIYYA ONLINE TV
20,1 тыс. подписчиков
1 978 просмотров · 2 года назад
Tazama Msafara wa Sheikh samiri ukiwasili Malindi mtaa wa mnadani Kwa mara ya kwanza Khairiyya online Tv wanakuletea Vunja Rekodi ya mwaka mapokezi haya ya kishindo yameishangaza Khairiyya online Tv Zaidi ya magari 30 pikipiki 50 zimeupamba msafara wa sheikh samiri katika MAPOKEZI yake yaliyofanyika huko lushoto wakati anakaribia Mtaa wa mnadani Tumekuwekea Video yote Khairiyya online Tv gusa link uone ladha hizi za kipekee za wana shamsul maarifa Mtaa wa mnadani malindi kwa ust shaafii Usisahau #comment #like #share #subscribe Katika channel yetu ya ‪@KHAIRIYYAONLINETV‬