Safari ya mbalamo By Mzee Kibaja (Wimbo wa kipare)
Wapare Online
0:00 / 0:00
Safari ya mbalamo By Mzee Kibaja (Wimbo wa kipare)
293 331 просмотр · 8 лет назад
Wapare Online
3,38 тыс. подписчиков
293 331 просмотр · 8 лет назад
Marehemu Mzee Kibaja ni miongoni mwa manguli na Legend wa utamaduni wa kabila la Wapare na mtunzi wa nyimbo nzuri za kipare.
#Safari ya mbalamo ni miongoni mwa nyimbo zake zilizompatia umaarufu mkubwa sana akizungumzia safari yake ya kwenda kwa mganga wa kienyeji kupatiwa tiba baada ya kuhisi wanae wanalogwa na majirani..
#Usisahau kusubscribe kugusa alama ya kengele kwa nyimbo nzuri na historia mbalimbali za wapare .