NENO LA MUNGU NI TAA
GOSPLE POWER AND MIRACLE CENTER
0:00 / 0:00
NENO LA MUNGU NI TAA
43 просмотра · 13 дней назад
GOSPLE POWER AND MIRACLE CENTER
6 подписчиков
43 просмотра · 13 дней назад
🙏 KARIBU KWENYE NENO LA MUNGU 🙏
Pokea Neno litakalokutia nguvu, kukupa tumaini na kujenga imani yako. ✨
Mungu bado anasema na maisha yako yanaweza kubadilishwa kupitia Neno Lake. ❤️
📖 “Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu.” — Zaburi 119:105
🔥 Sikiliza, amini na utende Neno la Mungu!
🔔 Subscribe/Follow ili usikose mafundisho na ujumbe mwingine wa baraka.