BESTIE — Episode 1: Rafiki wa Zamani | Kelvin James TV
Kelvin James Tv
0:00 / 0:00
BESTIE — Episode 1: Rafiki wa Zamani | Kelvin James TV
265 просмотров · 5 дней назад
Kelvin James Tv
217 подписчиков
265 просмотров · 5 дней назад
BESTIE — Episode 1: Rafiki wa Zamani 🎬
Omuya anarudi nyumbani baada ya muda mrefu na anakutana tena na Kelvin, rafiki yake wa zamani.
Lakini kuna kitu anaanza kugundua kuhusu Kelvin na Amara — urafiki wao unaweza kuwa zaidi ya urafiki? 👀
BESTIE ni teenage drama series kutoka Kelvin James TV, inayozungumzia urafiki, mapenzi, trust na hisia zinazobadilika.
❤️ Like kama umeipenda
💬 Comment: Je, Kelvin na Amara ni bestie tu?
🔔 Subscribe kwa Episode 2.
BESTIE — Episode 1: Rafiki wa Zamani
#BESTIE #KelvinJamesTV #SwahiliSeries #KenyanSeries #TeenageDrama