4 July 2026
Mke Wa Mwana Kondoo
0:00 / 0:00
4 July 2026
57 просмотров · 2 месяца назад
Mke Wa Mwana Kondoo
185 подписчиков
57 просмотров · 2 месяца назад
Madhabahu ya Kuombea Lango la Fedha 🔥
Mtumishi wa Mungu, Dr. Elesiana Buguzi, Mchungaji katika Madhabahu ya Ufalme wa Mbinguni Uje Ministry, anakukaribisha kushiriki katika maombi maalumu ya kufunguliwa kwa lango la fedha na neema ya kiuchumi.
📖 Neno la Msingi:
"Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema Bwana wa majeshi."
Hagai 2:8
Jiunge nasi katika kuomba nguvu ya Mungu juu ya kazi zako, biashara yako, huduma yako, na milango ya mafanikio ya maisha yako.
🙏 Sadaka na Mbegu za Imani:
M-Pesa/Vodacom: 0757241085
Jina: Elesiana Xavery Buguzi
Karibu katika madhabahu ya maombi ambapo Mungu hubadilisha majira na kufungua milango ya baraka.
#LangoLaFedha #Hagai28 #UfalmeWaMbinguniUje #DrElesianaBuguzi #MaombiYaMafanikio #YesuAnarudiLe