Перейти к содержимому

MASSANZA AWACHOKONOA ALI KAMWE, AHMED ALLY: TUMEANDIKA REKODI NZURI CAF KULIKO TIMU YOYOTE TANZANIA!

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

MASSANZA AWACHOKONOA ALI KAMWE, AHMED ALLY: TUMEANDIKA REKODI NZURI CAF KULIKO TIMU YOYOTE TANZANIA!

5 923 просмотра · 18 ч назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
5 923 просмотра · 18 ч назад
Ofisa Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza, amesema timu hiyo imeandika historia ya kipekee katika soka la Tanzania, baada ya kufuzu mara mbili mfululizo hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) katika msimu wake wa pili wa kushiriki michuano hiyo. ‎ ‎Massanza amesema, kwa mujibu wa historia ya ushiriki wa timu za Tanzania katika mashindano ya CAF, hakuna timu nyingine iliyowahi kufikia mafanikio hayo katika misimu yake miwili ya kwanza ya kushiriki michuano hiyo. ‎ ‎Massanza ameyasema hayo leo Jumapili, Oktoba 25, 2026, baada ya Singida Black Stars kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Tusker FC, matokeo hayo ya mechi ya marudiano yameiwezesha timu hiyo ya Tanzania kufuzu hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1. ‎ ‎Hii ni mara ya pili Singida inashiriki michuano hiyo na kufuzu makundi baada ya kufanya hivyo 2025-2026. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj