Перейти к содержимому

LAKE TANGANYIKA EXPO 2026 YATIKISA KIKANDA

TNCC BUSINESS TV

0:00 / 0:00

LAKE TANGANYIKA EXPO 2026 YATIKISA KIKANDA

101 просмотр · 3 дня назад
TNCC BUSINESS TV
688 подписчиков
101 просмотр · 3 дня назад
Lake Tanganyika Expo 2026 Yatikisa Kikanda Mwenyekiti wa TNCC Mkoa wa Kigoma, Bw. Obadia Kabuga, ameiishukuru Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa ushirikiano mkubwa katika maandalizi ya Lake Tanganyika International Expo. Pia amewapongeza wajasiriamali waliojitokeza kushiriki maonesho hayo, hususan kutoka DRC, Burundi, Rwanda na Zambia, huku akiwashukuru wadhamini kwa mchango wao katika kufanikisha maonesho hayo. Aidha, ametoa wito kwa makampuni na wadau mbalimbali kuendelea kuunga mkono maandalizi ya maonesho hayo kwa mwaka ujao, ili yaendelee kukua na kuwa na mvuto zaidi