Перейти к содержимому

SADAKA KWA SIRI- KWAYA YA MT. DOMINIC KIGANGO CHA AROYA (RIRODA).

Kwaya Mt.dominic Kigango Cha Aroya

0:00 / 0:00

SADAKA KWA SIRI- KWAYA YA MT. DOMINIC KIGANGO CHA AROYA (RIRODA).

261 просмотр · 8 дней назад
Kwaya Mt.dominic Kigango Cha Aroya
6 подписчиков
261 просмотр · 8 дней назад
Katika maisha ya binadamu tunapaswa kuwasaidia wahitaji bila kubagua na tusifanye ili tusifiwe bali tufanye kwa sifa na utukufu wa mungu. Karibuni kuutazama na kuusikiliza wimbo wetu wenye maudhui ya jinsi gani tunapaswa kutoa sadaka zetu kwa siri ili mungu wetu aonae sirini atubariki. Ahsanteni sana usisahau ku subscribe,ku like, ku comment na ku share. Waimbaji- Kwaya mt. Dominic kigango Cha Aroya,Parokia ya Riroda,Jimbo la Mbulu Jina la wimbo - (Sadaka kwa siri) Mtunzi- Alfred Amsi Organist na sound eng.- Herman Gervas Audio- Holly music Pro. Video director - Zephania Video- Kikumbo Sound Mawasiliano- 0715-452210/0786981207