SIKUMTAKA MIMI BALI YEYE ALINITAKA MIMI : SEHEMU YA 01
Makala Simulizi
0:00 / 0:00
SIKUMTAKA MIMI BALI YEYE ALINITAKA MIMI : SEHEMU YA 01
1 350 просмотров · 6 мес. назад
Makala Simulizi
4,67 тыс. подписчиков
1 350 просмотров · 6 мес. назад
Simulizi hii ni simulizi ambayo imejaa mambo mengi kama vile Imani za kishirikina,u babe,upendo na mapenzi ya dhati pamoja na usaliti.
Simulizi hii mhusika mkuu ni mwadada wa kuitwa Jenifa Mroso , Binti aliyepitia mambo mengi ya hatari lakini pia alijikuta akiibuka katika penzi zito asilolitarijia kabisa. Hata hivyo hapo napo hapakua patulivu sana.
Karibu upate kuisikiliza simulizi hii na Kisha utupe maoni Yako katika burudani hii yenye mafundisho.
usiache ku subscribe na ku share.