FARHAN KIHAMU AMTETEA MANGUNGU, ATAJA MADHAIFU YA SIMBA, MO DEWJI #simba
DM Contents
0:00 / 0:00
FARHAN KIHAMU AMTETEA MANGUNGU, ATAJA MADHAIFU YA SIMBA, MO DEWJI #simba
20 просмотров · 1 год назад
DM Contents
2,78 тыс. подписчиков
20 просмотров · 1 год назад
Tazama uchambuzi wa mtangazaji wa Clouds Media, Farhan Kihamu akizungumzia presha ya mashabiki kwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Murtaza Mangungu baada ya kufungwa na watani wao, Yanga mabao 2-0, huku akimtetea kuwa mwenyekiti huyo hana kosa lolote.
Kihamu pia amechambua kinachoikwamisha Simba na uwekezaji wa Mohamed Dewji 'MO Dewji'
Farhan Kihamu ameyasema hayo Juni 26, 2025 alipokuwa akizungumza katika kipindi cha Sport Xtra cha Clouds FM kinachorushwa saa 3 hadi saa 5 usiku.
#simbasc #simbatanzania #modewji #yanga #yangasc