Перейти к содержимому

Magoli na mikwaju ya penati | Sudan 1-1 Tanzania (Pen: 4-3) | Fainali | U20 AFCON Qualifiers Sept 24

Azam TV

0:00 / 0:00

Magoli na mikwaju ya penati | Sudan 1-1 Tanzania (Pen: 4-3) | Fainali | U20 AFCON Qualifiers Sept 24

33 606 просмотров · 12 часов назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
33 606 просмотров · 12 часов назад
FAINALI CECAFA u20: Timu ya vijana ya Sudan imetwaa ubingwa wa michuano ya CECAFA U20 kuwania kufuzu AFCON U20, kwa kuitandika Tanzania penati 4-3 kufuatia sare ya bao 1-1 baada ya dakika 120. Ni katika mchezo wa fainali uliopigwa leo kwenye Dimba la Uhuru Dar es salaam. Tazama magoli na penati zote zilizopigwa... Tanzania ikipoteza mbili, huku Sudan wakipoteza moja.