ADUI WAKO NI NANI? || NDOTO TV LIVE SERVICE || NA REV PETER NJIHIA
NDOTO TV OFFICIAL ( REV PETER NJIHIA )
0:00 / 0:00
ADUI WAKO NI NANI? || NDOTO TV LIVE SERVICE || NA REV PETER NJIHIA
168 просмотров · Трансляция закончилась 2 мес. назад
NDOTO TV OFFICIAL ( REV PETER NJIHIA )
34,1 тыс. подписчиков
168 просмотров · Трансляция закончилась 2 мес. назад
Je, wajua haya yanakupata kwa nini? Mambo ya kiroho ni mambo ambayo ni Roho Mtakatifu tu ndiye anaweza kuyafafanua na kutuwezesha kuyaelewa. Jiunge nami sasa hivi katika ibaada ya mafunzo kuhusu jambo hili.
Tafsiri ya ndoto yako ni uhuru wako. Jiunge nami sasa hiv ninapo kutafsria ndoto yako , huu ndio mwanzo wa mambo mapya maishani mwako, kwa familia, biashara , kazini, kifedha na katika kila eneo la maisha yako.
Ndoto zako si mashambulizi, mbali ni ufunuo wa matukio kwa maisha yako. Jiunge nasi kwenye NDOTO TV, tuma ndoto yako kama ujumbe kwa whatsapp no. +254706945821