Перейти к содержимому

Kazi ya Aupair na changamoto zake

Shali Brütsch-vlog

0:00 / 0:00

Kazi ya Aupair na changamoto zake

512 просмотров · Трансляция закончилась 2 года назад
Shali Brütsch-vlog
1,13 тыс. подписчиков
512 просмотров · Трансляция закончилась 2 года назад
Aupair ni kazi ya uyaya au kulea watoto ambayo mtu wa taifa lolote anaweza kufanya ulaya. Kaka Andrew ambaye ametokea Tanzania yeye alikuja Ujerumani kupitia kazi ya Aupair. Msikilize na jifunze. Asante sana Andrew kwa kuwepo. Kama unahitaji kufanya kazi hii basi nenda kwenye website ya Aupair.com au Worldaupair.com