OMO atoa somo zito katika mkutano wa kitaifa wa kujadili hali ya kisiasa baada ya uchaguzi wa 2025
Weyani Tv
0:00 / 0:00
OMO atoa somo zito katika mkutano wa kitaifa wa kujadili hali ya kisiasa baada ya uchaguzi wa 2025
814 просмотров · 8 часов назад
Weyani Tv
98,8 тыс. подписчиков
814 просмотров · 8 часов назад
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mstaafu Mhe. Othman Masoud akichangia mada katika mkutano wa kujadili hali ya kisiasa nchini baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Mkutano huo wa siku mbili uliandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania, TCD.