Перейти к содержимому

Masufi Wanamgomea Allah? Hapa ndipo walipofika! Kafiri ataingia Peponi? Je, Muislamu atadumu Motoni?

Manhaj Online TV

0:00 / 0:00

Masufi Wanamgomea Allah? Hapa ndipo walipofika! Kafiri ataingia Peponi? Je, Muislamu atadumu Motoni?

1 405 просмотров · 6 ч назад
Manhaj Online TV
13,5 тыс. подписчиков
1 405 просмотров · 6 ч назад
Katika video hii muhimu, Sheikh AbdulRauf Al-Munaawiy حفظه الله anafafanua itikadi sahihi ya Ahlus Sunnah wal Jama'ah kuhusu suala la Pepo na Moto, pamoja na kutoa ufafanuzi na Raddi juu ya kauli za ajabu zinazotolewa na baadhi ya watu wa bidaa (Masufi) wanaodai kuwa watagoma kuingia Peponi bila watu fulani, hata wakiwa si Waislamu. Qur'an na Sunnah zimeweka wazi kuwa mwisho wa kila Muislamu atakayekufa akiwa ni mwenye Tawheed ni Pepo, na mtu anayekufa nje ya Uislamu mafikio yake ni Motoni (Allah atukinge). Sikiliza nasaha hizi na uzingatie msimamo wa wema waliotangulia (Salafus-Salih) ili uwe salama katika dini yako. 📌 Subscribe kwenye chaneli yetu ya Manhaj Online TV kwa darsa zaidi, mawaidha, na nasaha za kisheria. 🔔 Gusa kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa kila tunapoweka video mpya.