Wakaazi kaskazini mwa Tanzania wanufaika na kilimo cha ndizi
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
Wakaazi kaskazini mwa Tanzania wanufaika na kilimo cha ndizi
6 370 просмотров · 6 лет назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
6 370 просмотров · 6 лет назад
Soko la ndizi wilayani Babati, mkoa wa Manyara kaskazini mwa Tanzania ni kubwa mno kiasi kwamba halikidhi mahitaji ya ndani ya wateja. Wenyeji wananufaika na mradi wa THRIVE Pamoja wa World Vision