Mradi wa mbuzi wa maziwa
Floresta Tanzania
0:00 / 0:00
Mradi wa mbuzi wa maziwa
10 907 просмотров · 4 г. назад
Floresta Tanzania
3,07 тыс. подписчиков
10 907 просмотров · 4 г. назад
Mradi wa mbuzi wa maziwa ulianzishwa na shirika la Floresta Tanzania 2015 kama njia mbadala na rafiki kwa mazingira kuongeza kipato na motisha kwa vikundi vinavyofanya vizuri kwenye kuhifadhi mazingira na kilimo hai. Toka kuanzishwa kwa mradi baadhi ya wanufaika wamepata mafanikio mbalimbali kama anavyojielezea kwa video.