🔴 LIVE | HITIMISHO LA KAMBI YA MAOMBI NA UPONYAJI 2026 | MCH. GEOFREY MORICE | SIKU YA NNE
CYM Tv FPCT Airport
0:00 / 0:00
🔴 LIVE | HITIMISHO LA KAMBI YA MAOMBI NA UPONYAJI 2026 | MCH. GEOFREY MORICE | SIKU YA NNE
282 просмотра · Трансляция закончилась 2 месяца назад
CYM Tv FPCT Airport
989 подписчиков
282 просмотра · Трансляция закончилась 2 месяца назад
Karibu kuungana nasi mubashara katika Hitimisho la Kambi ya Maombi na Uponyaji 2026 kutoka FPCT Bonde la Baraka (Airport).
Katika ibada hii ya mwisho, tutaongozwa na Mchungaji Kiongozi, Geofrey Morice, tukihitimisha siku nne za maombi, mafundisho ya Neno la Mungu, miujiza, uponyaji na ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu.
Usikose kuwa sehemu ya ibada hii ya kihistoria ya hitimisho na umalizie kambi hii kwa pamoja katika uwepo wa Mungu.
📍 FPCT BONDE LA BARAKA (AIRPORT)
📺 CYM TV FPCT AIRPORT
Asante kwa kuungana nasi katika Kambi ya Maombi na Uponyaji 2026. Mungu awabariki wote mliohudhuria, kushiriki na kufuatilia matangazo haya.
#HitimishoLaKambi #KambiYaMaombi2026 #GeofreyMorice #FPCTAirport #CYMTV #Live #Maombi #Uponyaj