Unabii: MUNGU HATALIACHA KAMWE KANISA LAKE (SDA CHINI YA GENERAL CONFERENCE). Usidanganywe na Mbweha
UAMSHO NA MATENGENEZO-TV
0:00 / 0:00
Unabii: MUNGU HATALIACHA KAMWE KANISA LAKE (SDA CHINI YA GENERAL CONFERENCE). Usidanganywe na Mbweha
118 просмотров · 3 дня назад
UAMSHO NA MATENGENEZO-TV
354 подписчика
118 просмотров · 3 дня назад
Kuna magundisho mengi ambayo yameibuka na kusambaa mahali pengi mtandaoni kwamba YESU HAYUMO TENA KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO, eti kwa kuwa kanisani mna maovu mengi kwa sasa.
Mungu hasahau kwamba kanisani mna maovu mengi, na kwamba yanamkwaza sana. Lakini anatumia fursa hiyo kupepetea Kanisa lake na kuwaondoa ndani wasiofaa, huku wengine walio waaminifu wakibaki imara wakimtazama YESU KRISTO kuliko kuwatazama binadamu.
YESU mwenyewe ndiye NAHODHA wa Meli inayowabeba watu wa Mungu, na atawafikisha salama baada ya kuyaganga majeraha yao.
SDA NDILO KANISA LA MASALIO, MUNGU HATAONGOZA KANISA LINGINE, KWA KUWA SI KIONGOZI WA MACHIPUKIZI.