DUNIA YA BABA || MAPS SDA CHOIR || {Official Video 4k} #SDAH
MAPS SDA Choir
0:00 / 0:00
DUNIA YA BABA || MAPS SDA CHOIR || {Official Video 4k} #SDAH
1 391 просмотр · 4 месяца назад
MAPS SDA Choir
344 подписчика
1 391 просмотр · 4 месяца назад
Dunia ya baba ni wimbo wa tumaini,utulivu,na kutambua ukuu wa Mungu katika uumbaji wake
Wimbo huu uliandikwa na Fraklin L. Shpherd {1852-1930} alipenda sana kutembea nje na kutafakari uumbaji wa Mungu ndipo aliposema "Naenda kuona dunia ya baba yangu" Hapo ndipo wazo la wimbo likazaliwa
MAFUNDISHO YA KIROHO
Unatukumbusha kuwa sisi ni wasimamizi tu wa dunia wala si wamiliki
Unatukumbusha kuona uwepo wa Mungu katika vitu tunavyoviona dunia ya kwamba vyote viliumbwa na Mungu