SEBENE BASS TECHNIQUE – LEARN THE SECRET GROOVE
Dekanto Bass
0:00 / 0:00
SEBENE BASS TECHNIQUE – LEARN THE SECRET GROOVE
194 просмотра · 9 мес. назад
Dekanto Bass
6,67 тыс. подписчиков
194 просмотра · 9 мес. назад
Karibu kwenye lesson ya sebene Bass Technique!
Hapa utajifunza jinsi ya kucheza sebene kwa usahihi, speed, articulation na groove ambayo inatumika kwenye Congo music, Live Shows na Studio sessions. Video hii inaeleza patterns muhimu, finger technique, timing na ideas ambazo zitakusaidia kupiga sebebé bass kwa ufasaha zaidi.
Subscribe kwa tutorials zaidi, na usisahau ku-like na ku-comment ili tuendelee kukua pamoja!
/ @dekantobass
#sebenebass #bassguitar #basslesson #bassguitartutorial #congolesebass #bassgroove #africanmusic #bassplayer #sebenetechnique #basspractice #youtubegrowthtips #youtubeadvice #youtubetips