Перейти к содержимому

MWISHO WA SIRI | Simulizi Ya Mapenzi Yaliogeuka Giza – Usaliti, Machozi na Kisasi cha Moyo.

MRLOVE SIMULIZI

0:00 / 0:00

MWISHO WA SIRI | Simulizi Ya Mapenzi Yaliogeuka Giza – Usaliti, Machozi na Kisasi cha Moyo.

1 605 просмотров · 1 год назад
MRLOVE SIMULIZI
561 подписчик
1 605 просмотров · 1 год назад
#SimuliziZaKiswahili #MwishoWaSiri #MrloveSimulizi MWISHO WA SIRI Alimpenda kwa moyo wake wote, akamsamehe kila kosa, akamsikiliza kila kilio – lakini kumbe alipokuwa anampenda kwa dhati, mwingine alikuwa anamfundisha namna ya kumuua kimya kimya. Siri iliyofichwa kwa muda mrefu sasa inaanza kujifunua taratibu, kila ukurasa ukifichua uso mpya wa usaliti. Sasa anajiuliza; ni kweli mapenzi huponya, au ni sumu ya taratibu? Hii si hadithi ya kawaida – hii ni MWISHO WA SIRI. Karibu kwenye MRLOVE SIMULIZI 2 – Kituo rasmi cha simulizi za kusisimua, za maisha, mapenzi, kisasi, na ukweli usiosemwa. Kila hadithi hapa si ya kawaida – ni sauti ya moyo, machozi ya roho, nua kilio cha nafsi kilichovikwa maneno. Hii ni nyumba ya: ✔️ Simulizi za maisha halisi ✔️ Hadithi za mapenzi na usaliti ✔️ Kisa cha kisasi na giza la nafsi ✔️ Hadithi fupi na ndefu zenye mafunzo ✔️ Voice-over storytelling zenye hisia na sauti kali Simulizi yetu ya kwanza ni: “MWISHO WA SIRI” Je, kuna siri inaweza kuwa ya mwisho wa maisha yako? Usikose kuisikiliza. *Post mpya kila wiki | Audio storytelling inayoishi kwenye moyo* –––––––––––––––––––––––––––––––––––––––––––––––– *Subscribe* kwa simulizi mpya za kusisimua kila wiki *Washa kengele* ili usipitwe hata na nukta ya simulizi *Comment & Share* – kila simulizi ni ya mtu mmoja, lakini ujumbe wake ni wa dunia –––––––––––––––––––––––––––––––––––––––––––––––– *Follow Mrlove Simulizi kwenye mitandao ya kijamii:* ▶ TikTok: @mrlove_tz1 ▶ Instagram: @mrlove_tz1 ▶ YouTube Shorts: Mrlove Simulizi Moments ▶ Contact: 0789826854 *MRLOVE SIMULIZI 2* "Hadithi Hazifi. Zinaishi ndani ya nafsi zako." SimuliziZaKiswahili #MrloveSimulizi,HadithiZaMaisha,MapenziNaKisasi ,StorytellingYaKisasa ,SimuliziMpya, Simulizi mpya, Simulizi za kweli, Story ya mapenzi, Story ya kusisimua, Mrlove Simulizi, David Moses Mrlove, Hadithi fupi, Hadithi ndefu ya mapenzi, Maisha na mapenzi, Kiswahili drama, Storytelling ya Kiswahili, Audio drama Kiswahili, Usiku wa mwisho, Mwisho wa Siri, Audio za mapenzi, Story za kweli, Mtaani stories, Mapenzi ya giza, Kisasi cha kweli, Maumivu ya mapenzi, Machozi ya damu, Kiswahili thriller, Simulizi nzuri, Love story Swahili, Short story Swahili, Real life stories Swahili,