Перейти к содержимому

Tazama Nje NDANI UWANJA WA AFCON ARUSHA Unawaka Rangi Za Bendera Ya Taifa, Muonekano, Ujenzi na Usiy

Jenafa TV

0:00 / 0:00

Tazama Nje NDANI UWANJA WA AFCON ARUSHA Unawaka Rangi Za Bendera Ya Taifa, Muonekano, Ujenzi na Usiy

5 507 просмотров · 1 день назад
Jenafa TV
644 тыс. подписчиков
5 507 просмотров · 1 день назад
🇹🇿🔥 UWANJA WA AFCON ARUSHA! TUMEUTEMBELEA MRADI HUU KWA UNDANI Tanzania inajiandaa kuandika historia kupitia AFCON 2027, na leo tunakuletea video maalumu kutoka kwenye mradi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu unaojengwa Arusha. Katika video hii, nimekuzungusha kwenye mradi huu na kuelezea kwa kina mambo mbalimbali kuhusu uwanja huu, muonekano wake, maendeleo ya ujenzi na umuhimu wake kwa Tanzania. ⚽ Uwanja huu utakuwa na nafasi gani katika maandalizi ya AFCON 2027? 🏟️ Mradi huu unaonekanaje kwa uhalisia? 🇹🇿 Una umuhimu gani kwa maendeleo ya michezo, utalii na uchumi wa Arusha? 👀 Je, Tanzania iko tayari kupokea mashindano makubwa ya soka barani Afrika? Nimekuonyesha hali halisi ya mradi kupitia video hii. Tazama mpaka mwisho ili usikose maelezo muhimu! 💬 TUAMBIE KWENYE MAONI: Una maoni gani kuhusu uwanja huu? Je, unaamini utaongeza hadhi ya soka la Tanzania na kuvutia mashabiki wengi kutoka Afrika? 👍 LIKE video kama unapenda maendeleo ya michezo Tanzania. 🔔 SUBSCRIBE na uwashe kengele ili usikose video nyingine za miradi mikubwa, viwanja vya michezo na habari za soka. 📢 SHARE video hii ili Watanzania wengine waone mradi huu