Magoli na kadi nyekundu | Dodoma Jiji 1-1 Singida BS | NBC PL 09/10/2026
Azam TV
0:00 / 0:00
Magoli na kadi nyekundu | Dodoma Jiji 1-1 Singida BS | NBC PL 09/10/2026
8 598 просмотров · 6 ч назад
Azam TV
3,32 млн подписчиков
8 598 просмотров · 6 ч назад
Ni sare ya 1-1 Dodoma jiji FC wakitoshana nguvu na Singida BS, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma.
Magoli yenyewe ni ‘header’ yenye ladha kutoka kwa Andy Bikoko na finishing ya Benjamin Tanim.
Katika mchezo huu, nyota wa Singida BS, Jonathan Sowah, akitokea Benchi, hajamaliza mchezo baada ya kukutana na adhabu ya kadi nyekundu.