Перейти к содержимому

SAKRAMENTI TAMU (Official Video) - Adventina

Khaki Media Pro

0:00 / 0:00

SAKRAMENTI TAMU (Official Video) - Adventina

9 173 просмотра · 4 года назад
Khaki Media Pro
9,11 тыс. подписчиков
9 173 просмотра · 4 года назад
Wimbo huu wa "Sakramenti Tamu" umeimbwa kwa tafsiri ya Lugha ya Kiswahili na Muimbaji Adventina Elias na kurekodiwa Sauti na Picha katika Studio ya Khaki Media. Ni tafsiri iliyoandaliwa kutoka katika wimbo wa "Sweet Sacrament Divine" utunzi wake Rev.Fr.Stanfield uliotungwa miaka miaka mingi ya nyuma kidogo! Ni wimbo mzuri sana katika kuabudu Sakramenti takatifu. Karibuni nyote, kutazama bila kusahau kutoa maoni yenu na kuwashirikisha ndugu,jamaa na marafiki kiungo hiki! Usiache KUSUBSCRIBE ili kuendelea kupata nyimbo zaidi kila juma . Follow Us on , Facebook:  / khaki-media-.  . Instagram:  / khaki_media_pro.  . For Booking; Mobile No: +255752 657 198 WhatsApp: +255 620 253 958 e-mail: khakimediapro@gmail.com