Перейти к содержимому

Madhara ya mguu kukosa uvungu

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

Madhara ya mguu kukosa uvungu

396 просмотров · 13 часов назад
DW Kiswahili
335 тыс. подписчиков
396 просмотров · 13 часов назад
Kwa kawaida, mguu wa binadamu huwa na uwazi kwenye unyayo unaojulikana kama uvungu, ama arch kitaalamu. Je, uvungu huu ukikosekana unaweza kuleta madhara gani katika mwili wa binadamu? Tazama vidio hii ujifunze... #dwkiswahili #tanzania #kenya #afya