Перейти к содержимому

Mwokozi Wetu || Cover by ZEBEDAYO Family

Zebedayo Family

0:00 / 0:00

Mwokozi Wetu || Cover by ZEBEDAYO Family

712 просмотров · 1 г. назад
Zebedayo Family
29,9 тыс. подписчиков
712 просмотров · 1 г. назад
Singer: bonheur ( Mrs Tresor) & Tresor Audio : Bienvenue( Zebedayo Family Video lyrics : 4images 1Mwokozi wetu anatupa furaha duniani, atuongoza kwa neema na anatushibisha. Tazama, yupo pamoja nasi, neema haitaisha kamwe! Haleluya, haleluya, haleluya, Amina! 2Ni vema kumpenda Mungu aliyetukomboa, vizuri kuwa mtu wake, sitapotea kamwe. Furaha yetu itabakia, ikiwa vyote vingetoweka. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! 3Ikiwa giza mara nyingi, na jua likifichwa, na tukijaribiwa huku twajuwa ni kwa mda. Mbinguni hatutaona kamwe huzuni wala machozi tena. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! 4Na tusisumbukie tena chakula wala nyumba, maana vyote twavipata kwa ne’ma yake Mungu. Njiani yote atuongoza aichukuwa mizingo yetu. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! . 5Ikiwa vema huku chini kutegemea Yesu, furaha gani huko juu kuona uso wake. Tutaiona furaha tele, na utukufu hautaisha, Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia!"