Usikose Wateja Kwa Kutokujua Kushona Kola Hii | Hatua kwa Hatua
Denblessing Creations
0:00 / 0:00
Usikose Wateja Kwa Kutokujua Kushona Kola Hii | Hatua kwa Hatua
1 122 просмотра · 2 месяца назад
Denblessing Creations
9,74 тыс. подписчиков
1 122 просмотра · 2 месяца назад
Karibu Denblessing Creations! ❤️
Je, umewahi kuona blouse yenye kola nzuri lakini ukashindwa kuishona kwa sababu ya vipimo? Katika video hii nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kushona kola hii ya kisasa kwa umaliziaji mzuri na wa kitaalamu.
Mbali na kushona kola, nimeonyesha pia namna ya kuchukua na kutumia vipimo vya blouse kwa njia tofauti kidogo ili kurahisisha kutengeneza kola hii bila usumbufu. Ukifuata hatua hizi utaweza kupata matokeo safi na yenye mwonekano wa kuvutia.
Ikiwa wewe ni fundi mshonaji, mwanafunzi wa ushonaji au unapenda kuboresha ujuzi wako, video hii ni kwa ajili yako.
Usisahau: ✅ Subscribe ✅ Like ✅ Comment ✅ Share
📞 Mawasiliano ya Biashara: WhatsApp: 0653927769
Asante sana kwa kutazama na kwa kuunga mkono Denblessing Creations. Mungu akubariki!