ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO #joelnanauka #tabia #seo
VITABU NA UCHAMBUZI
0:00 / 0:00
ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO #joelnanauka #tabia #seo
158 просмотров · 1 год назад
VITABU NA UCHAMBUZI
709 подписчиков
158 просмотров · 1 год назад
Katika kitabu hiki ishinde tabia ya kughairisha mambo cha mwandishi Joel Nanauka, kimegusia mambo msingi hukusu tabia ya kughairisha inavyoleta majuto pia kuondoa ufanisi.
kitabu hiking kimeleza sababu na tafiti mbalimbali za kwanini watu wanaghairisha mambo. kimegusia aina ya waghairisha mambo, pia namna ya kuacha Tania ya kughairisha Mambo na kujenga Tania mpya.
ni kitabu kitakupa hatua mpya hakikisha unajipatia nakala kutoka kwa wasambazaji halisi.
Ambatana nami hata mwisho nikikupa dondoo au mazingatio ndani ya kitabu hiki.
karibu
Ni Mimi mchambuzi wako:
Japhet Katana
+255745746691