Перейти к содержимому

Ukiona dalili hizi basi una upungufu wa vitamin D!! Fanya hivi haraka sana

Mshani Wellness

0:00 / 0:00

Ukiona dalili hizi basi una upungufu wa vitamin D!! Fanya hivi haraka sana

8 474 просмотра · 2 года назад
Mshani Wellness
102 тыс. подписчиков
8 474 просмотра · 2 года назад
Vitamin D ni moja ya aina ya vitamini muhimu zaidi mwilini, kazi yake kubwa ni kusaidia ufyonzwaji wa madini joto ya Calcium na Phosphorus. Madini haya husaidia kutengenezwa kwa meno na mifupa. Licha ya kuwa vitamin hii inapatikana kwenye vyakula kama mayai na samaki lakini ngozi yako kwa msaada wa jua inabaki kuwa ndio chanzo kikuu cha vitamin D. Madhara makubwa ya ukosefu wa vitamin hii ni mifupa kuwa dhaifu, maumivu ya viungo, meno kuharibika na mtoto kupata matege.