Перейти к содержимому

Tundu Lissu: Sijaomba na sitokuja kuomba huruma ya mahakama nataka haki itendeke.

HABARI PLUS TV

0:00 / 0:00

Tundu Lissu: Sijaomba na sitokuja kuomba huruma ya mahakama nataka haki itendeke.

368 просмотров · 1 г. назад
HABARI PLUS TV
24,1 тыс. подписчиков
368 просмотров · 1 г. назад
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu, amesema haombi huruma ya Mahakama, bali anataka taratibu za kimahakama zifuatwe ipasavyo kwa mujibu wa Katiba. Akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, leo Julai 15, 2025 Lissu amelalamikia kile alichokiita uchezeaji wa utaratibu wa kesi unaofanywa na Mawakili wa Serikali na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).