Перейти к содержимому

UMUHIMU WA MWONGOZO WA SHAMBA DARASA

RAFIKI CHANELL'S

0:00 / 0:00

UMUHIMU WA MWONGOZO WA SHAMBA DARASA

43 просмотра · 1 г. назад
RAFIKI CHANELL'S
880 подписчиков
43 просмотра · 1 г. назад
WAKULIMA KUNUFAIKA NA MWOGOZO WA SHAMBA DARASA. Wakulima na wadau wa kilimo wainatarajiwa kunufaika na mwongozo wa undeshaji Shamba darasa la kilimo biashara ulio na dhumuni la kuendelea kuboresha huduma za ugani katika sekta nzima ya kilimo hapa nchini. Mwongozo huu unazifanya huduma za ugani kuendana na mahitaji ya sasa, na unalenga kuwanufaifasha wakulima, vyama vya ushirika, wataalam wa kilimo, taasisi za Umma na binafsi, kampuni za pembejeo, taasisi za fedha wabia wa maendeleo na wajasiriamali waliojipanga kuendeleza teknolojia mbalimbali za kilimo. Mkurugenzi Mkaazi wa ‘Care International’ Tanzania Bi. Prudence Masako ambao ndiyo wafadhili wa Uandaaji na utekelezaji wa mwongozo huo amesema Shirika lake linatekeleza miradi ya kilimo katika Mikoa ya Iringa, Mbeya, Njombe, Kigoma, Tanga, Shinyanga na Morogoro inayolenga wakulima wadogo hususan wanawake na vijana kwa lengo ni kuwawezesha kutoka kilimo cha kujikimu hadi kilimo biashara. 0757277058.