Перейти к содержимому

ILIKUWA MWEZI WA NANE MWAKA WA 2021,ITAJE KUWA SIKU KUU YA BABA MTUME ELIJAH.

PASTOR ELIJAH DUMUSI

0:00 / 0:00

ILIKUWA MWEZI WA NANE MWAKA WA 2021,ITAJE KUWA SIKU KUU YA BABA MTUME ELIJAH.

2 934 просмотра · 5 лет назад
PASTOR ELIJAH DUMUSI
1,05 тыс. подписчиков
2 934 просмотра · 5 лет назад
Mutume ELIJAH SHIYONGA MAIKUVA ndio majina yake kamili, baba aliye teuliwa kuwa baba wa roho mtakatifu,ambaye aliongozwa na roho mtakatifu kuwaponya watu wenye shida mbalimbali, na kuwaonyesha jinzi ya kutubu na kuachana na kufanya maovu mbele za Mungu wetu aliye juu.wenye shida walipona kutokana na Imani Yao" Elijah Mutume tarehe tano kwa Kila mwezi ilipokuwa ikiwadia tu, roho wa Mungu alikuwa akishuka ndani yake mpaka siku hiyo, wengi wanamuona kuwa amerukwa na kichwa, lakni la asha, Mungu wake alikuwa yuwamuongoza, historian yake ni ndefu, wapo bado waliokuwepo enzi hizo, labda Karibuni nyote wakati ambapo historia yake inasomwa Kila wakati ambapo wafuasi wake huenda kuomba kwa mlima kule pande ya western kabras HQ.