SOMO:LAANA YA WAZAZI WAKO NDIO INAYOKUANDAMA || PR.DAVID MMBAGA.
Imani hai🙏2
0:00 / 0:00
SOMO:LAANA YA WAZAZI WAKO NDIO INAYOKUANDAMA || PR.DAVID MMBAGA.
276 просмотров · 4 дня назад
Imani hai🙏2
94 подписчика
276 просмотров · 4 дня назад
Moja kati ya mambo yanayowasumbua sana waumini ni laana, ambayo vijana wengi inawatia ugumu katika mafanikio yao. Laana kutoka kwa watu wao wa karibu mfano; WAZAZI, NDUGU, WANAJAMII, MKE, NA HATA WATOTO aliowazaa, usipowajali watu wako wa karibu ni ngumu sana kupiga hatua ya kimaendeleo ya kiuchumi kwasababu umeshindwa kuwa mmbaraka kwa watu wanaokuzunguka, sheria ya ASILI haikubali wewe kufanikiwa kwa sababu haujawa kiungo muhimu katika jamii inayokuzunguka.
#laana #laanayawazazi #wazazi #barakazamungu #barakazawazazi