Перейти к содержимому

Monsinyori Mbiku:Huyu ndiye mwanamke pekee aliyepata Mimba bila ya kujamiiana na mwanaume,

Radio Maria Tanzania

0:00 / 0:00

Monsinyori Mbiku:Huyu ndiye mwanamke pekee aliyepata Mimba bila ya kujamiiana na mwanaume,

13 950 просмотров · 7 л. назад
Radio Maria Tanzania
99,3 тыс. подписчиков
13 950 просмотров · 7 л. назад
Ni homilia ya Monsinyori Deogratius Hukumu Mbiku, paroko wa parokia ya chuo kikuu cha Dar Es salaam wakati akiadhimisha ibada ya misa takatifu Kwenye Grotto ya mama bikira maria iliyoko makao makuu ya Radio Maria Mikocheni Jijini Dar es salaam, ibada ambayo ilikuwa mahususi kwa heshima ya Bikira Maria na kuambatana na uchomwaji moto bahasha za maombi ya wadau wa radio hiyo, wakati wa kampeni ya kapu la mama 2018