Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 02.10.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 02.10.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

1 770 просмотров · Трансляция закончилась 2 ч назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
1 770 просмотров · Трансляция закончилась 2 ч назад
Dunia yetu leo jioni itamulika yafuatayo UAE imesema tukio la rubani mwenza kujaribu kuangusha ndege ya shirika la Flydubai iliyokuwa ikielekea Tel Aviv ni kitendo cha kigaidi. Shinikizo la Washington kwa Ulaya kuachilia akiba za dizeli limeibua mvutano mpya wa kisiasa na kiuchumi kati ya washirika hao wa muda mrefu #Ufaransa inakabiliwa na maandamano ya wanafunzi wa shule za sekondari na vyuo vikuu yaliyosambaa kote nchini humo, kufuatia malalamiko kuhusu mfumo wa elimu. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.