ASKOFU AFARIKI BAADA YA KUHUBIRI GEORGE CHITETO
Yuhai tv
0:00 / 0:00
ASKOFU AFARIKI BAADA YA KUHUBIRI GEORGE CHITETO
4 887 просмотров · 4 г. назад
Yuhai tv
162 подписчика
4 887 просмотров · 4 г. назад
Huzuni na Majonzi; Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Dayosisi ya Tanga Maimbo Mndolwa akiongoza Misa ya kuaga mwili wa Hilda Lugendo kwenye Kanisa Anglikana Kristo Mfalme Madaba Muheza- Ametangaza Kifo cha aliyekuwa Askofu wa Dayosisi ya Mpwapwa George Chiteto.
Askofu George Chiteto ndie aliehubiri katika Misa ya kuaga mwili wa Bi, Hilda Lugendo na Dakika chache Baadae aliishiwa nguvu na kupoteza fahamu kisha kukimbizwa katika Hospital Teule ya Wilaya ya Muheza alikofikwa na mauti.
Agosti 28, 2022 Marehemu Askofu George Chiteto aliwekwa wakfu kuwa Askofu wa Tatu wa Dayosisi ya Mpwapwa na leo Septemba 03, 2022 Mungu amemuita katikati ya Majukumu yake, Apumzike kwa Amani poleni Mpwapwa na Familia kwa ujumla.