Перейти к содержимому

UTANI WA BOSS WA NIDA KWA MWIGULU "NIDA ITAUNGANISHA SEHEMU YA MALIPO, LABDA KADI YA CHAMA NA YANGA

Millard Ayo

0:00 / 0:00

UTANI WA BOSS WA NIDA KWA MWIGULU "NIDA ITAUNGANISHA SEHEMU YA MALIPO, LABDA KADI YA CHAMA NA YANGA

8 366 просмотров · 15 часов назад
Millard Ayo
6,2 млн подписчиков
8 366 просмотров · 15 часов назад
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) James Wilbert Kaji amesema NIDA ina mpango wa kuongeza group blood ili kuwarahisishia madaktari kujua wewe ni group gani sambasamba hilo kitambulisho cha Taifa kitaunganishwa na mfumo wa malipo hutohitajika kuwa na kadi zaidi ya mbili Ameyasema Jijini dar es Salaam katika kilele cha maadhimisho ya siku ya kimataifa ya utambulisho