VIDEO : Masharti waliyopewa 'Mainjinia' wa MBINGA na Rais JPM
Global TV Online
0:00 / 0:00
VIDEO : Masharti waliyopewa 'Mainjinia' wa MBINGA na Rais JPM
5 893 просмотра · Трансляция закончилась 7 л. назад
Global TV Online
5,96 млн подписчиков
5 893 просмотра · Трансляция закончилась 7 л. назад
VIDEO : Masharti waliyopewa 'Mainjinia' wa MBINGA na Rais JPM
Rais Dkt.John Pombe Magufuli leo April 7 ameeendelea na ziara ya kikazi mkoani Ruvuma ambapo pamoja na mambo mengine ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabaraba ya mbinga-Mbamba Bay yenye urefu wa kilometer 66.
Rais Magufuli amesema ujenzi wa barabara hiyo ni muhimu kwa maendeleo ya taifa kwani inalenga kurahisisha bishara na nchi jirani ikiwemo Malawi na hivyo kumtaka Mkandarasi anayejenga mradi huo kuukamilisha ifikapo mwaka 2020.
https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website:www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho Category