Dalili za Mwanzoni Kabisa Za Mimba - Wiki 2,3,4
Doctor Daniel
0:00 / 0:00
Dalili za Mwanzoni Kabisa Za Mimba - Wiki 2,3,4
46 412 просмотров · 3 недели назад
Doctor Daniel
62,8 тыс. подписчиков
46 412 просмотров · 3 недели назад
Katika video hii nimeelezea baadhi ya dalili ambazo zinaweza kuonekana mapema na ambazo wanawake wengi huzipuuza au kuzichanganya na hali nyingine.
⚠️ Kumbuka: Dalili pekee haziwezi kuthibitisha ujauzito. Pregnancy test na ushauri wa kitaalamu vinaweza kusaidia kuthibitisha.
🎥 Tazama video mpaka mwisho — huenda ukagundua kitu ambacho hukuwahi kukifikiria.
#Ujauzito #DaliliZaUjauzito #Pregnancy #PregnancySymptoms #AfyaYaMama #MamaNaMtoto #Afya #ElimuYaAfya #DoctorDaniel #Tanzania