TIM KYARA: MAMBO 5 UNAYOPASWA KUFICHA ILI UFANIKIWE [PART 1]
HEKIMA TALK
0:00 / 0:00
TIM KYARA: MAMBO 5 UNAYOPASWA KUFICHA ILI UFANIKIWE [PART 1]
98 просмотров · 8 дней назад
HEKIMA TALK
564 подписчика
98 просмотров · 8 дней назад
Sio kila kitu cha kutangaza na kusema kwa watu wote, tunaaswa kuficha mimba changa na kuacha ama tumbo au kachanga kaje kutangaza kwa kilio chake. Ficha mizizi acha matunda ya mti yaje kuonyesha huu ni mti aina gani. Utaepuka vita vingi sana ikiwa mambo yako yatakuwa ya siri na utayaweka moyoni kwanza...Part 1