Перейти к содержимому

Episode 60: Akili na rafiki zake Bwawani | Episode nzima ya Akili and Me | Katuni za watoto

Akili and Me - Kiswahili

0:00 / 0:00

Episode 60: Akili na rafiki zake Bwawani | Episode nzima ya Akili and Me | Katuni za watoto

114 486 просмотров · 3 года назад
Akili and Me - Kiswahili
724 тыс. подписчиков
114 486 просмотров · 3 года назад
Akili na rafiki zake wanajaribu kumsaidia mvuvi kupata samaki kwa ajili ya familia yake Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza! Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. https://www.youtube.com/c/AkiliKiswah... Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/ http://www.akiliandme.com   / akiliandme   Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media. https://www.ubongo.org Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains #SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe