MAFANIKIO YANA SIRI KUBWA! Je, Unaijua Njia Yako ya Kufanikiwa? Sheikh Makarama Afunguka
SINGO MEDIA
0:00 / 0:00
MAFANIKIO YANA SIRI KUBWA! Je, Unaijua Njia Yako ya Kufanikiwa? Sheikh Makarama Afunguka
349 просмотров · 3 месяца назад
SINGO MEDIA
78,7 тыс. подписчиков
349 просмотров · 3 месяца назад
NJIA YAKO NI IPI ILI UFANIKIWE?
Kwa nini watu wengi hawafanikiwi licha ya kuwa na juhudi na ndoto kubwa?
Sheikh Makarama anazungumzia baadhi ya sababu zinazoweza kuwazuia watu kufikia malengo yao na anatoa mawaidha yanayohimiza kumtegemea Mwenyezi Mungu, kuwa na subira, kufanya juhudi kwa njia halali, na kuendelea kutafuta mafanikio kwa misingi ya Qur'an na Sunnah.
Kupitia mafunzo haya, utapata tafakuri na nasaha zinazoweza kukusaidia kutathmini mwenendo wa maisha yako na kujifunza kutokana na maelezo ya mhadhiri.
▶️ Tazama muhadhara huu hadi mwisho upate mafunzo na ibra muhimu.
🔔 Usisahau:
Subscribe kwa mawaidha na darsa zaidi.
Like na Share ili wengine wanufaike.
Andika maoni yako kwa heshima kwenye sehemu ya comments.
#SheikhMakarama #Mafanikio #Mawaidha #Tafakuri #Quran #Sunnah #Uislamu #SingoMedia